Lesson 1: Classroom Instructions


Classroom Instructions [maagizo ya darasani]

 rudia- repeat

mwalimu- teacher


profesa- professor


mwanafunzi- student


jibu answer;- respond


uliza- ask


unaelewa?- do you understand?


mnaelewa?- do you all understand?


ndiyo- yes


la; hapana- no


swali -question


mna swali?- does anyone have a question?


mwalimu, nina swali teacher,- I have a question


sielewi- I do not understand


sikiliza- listen (s. command)


sikilizeni -listen (pl. command)


simama- stand


tafadhali, simama- please, stand


keti; kaa- sit


tafadhali, keti/kaa- please, sit down


kusanya- collect


karatasi -paper


tafadhali, kusanya karatasi- please, collect the papers


leta- bring


tafadhali, leta karatasi- please, bring the papers


enda- go


tafadhali, enda-  please, go


tazama- look


funga kitabu- close the book


fungua kitabu- open the book


tafadhali- please


tafadhali rudia -please repeat


tafadhali, fungua kitabu- please, open the book


tafadhali, nyamaza- please, be quiet (sing.)


tafadhali, nyamazeni- please, be quiet (pl.)


tafadhali, ongea/zungumza/sema katika Kiingereza- please, speak in English


tafadhali, jibu katika/kwa Kiswahili- please, respond in Kiwahili


tafadhali, ongea/zungumza/sema katika Kiswahili- please, speak in Kiwahili


polepole -slowly


tafadhali, ongea/zungumza/sema polepole -please, speak slowly


taja- mention


tamka- pronounce


soma- read; study


andika -write


Classroom Instructions [maagizo ya darasani]


andika kwa Kiswahili - write in Kiwahili



tafadhali soma- please read
kumbuka  - remember (sing.)


mnakumbuka- remember (pl.)
jaribu- try


tena- again
jaribu tena - try again


tafadhali jaribu-please try
karibu- welcome


tafadhali fungua mlango- please open the door
tafadhali funga mlango-  please close the door


tafadhali kaa/keti- please sit (sing.)
"Crying" ni nini kwa Kiswahili - What is "crying" in Kiwahili?


tafsiri-translate
chemsha bongo-brain teaser


sijui-I do not know
kwaheri- bye


kwaheri, tutaonana kesho- goodbye, hope to see you tomorrow
kwaheri, tutaonana baadaye- goodbye, hope to see you later


asante-thank you
asante sana- thank you very much


njoo- come
tafadhali, njoo-please, come


samahani-pardon; excuse me
samahani, mwalimu, nina swali-excuse me, teacher, I have a question


haraka-fast
tafadhali, ongea/zumgumza/sema haraka haraka- please, speak quicker


vizuri-good
vizuri sana -very good


Wewe ni mzuri.- You are good.
Wewe ni mbaya.  -You are bad.


kazi nzuri- good work
kazi ya nyumbani-homework


Leo tutasoma _____.-Today we will learn _____.
Jana tulisoma nini?-What did we learn/study yesterday?

Leo tumesoma nini? What have we learned/studied today?