Buying and Selling [ununuzi na uuzaji]
A). Buying and Selling |
bei [price] ghali [expensive] rahisi [cheap] bei nafuu [fair price] haipungui [does not reduce] hakuna faida/maslahi [there is no profit] ninataka [I want] shilingi [shillings] dola [dollars] mwuzaji [shopkeeper] mteja [customer] Twende! [Let's go!] pesa, hela [money] Ghali sana! [Too expensive!] Bei ghali! [The price is too high!] punguza kidogo [reduce a little] ongeza kidogo [add a little more] bei rahisi sana! [very cheap price!] Jamani, Mungu wangu! [Oh my god!] Hapana! Tafadhali punguza bei! [No! Please reduce the price!] Haiwezekani! [Utterly impossible!] Acha bwana/mama! [Stop it, don't be ridiculous, sir/madam!] |
Zingatia [Note] | |
leta nipe nunua ninataka punguza mteja haipungui | [bring] [give me] [buy] [I want] [reduce/lower] [customer] [does not reduce/lower] |
Mazungumzo [dialogue] |
Talking with a friend and going to do shopping of various items. Halima: Hujambo Halima? Anna: Sijambo.Habari za asubuhi? Halima: Salama tu, nyumbani hawajambo? Anna: Hawajambo. Halima: Leo, unakwenda sokoni kununua nini? Anna: Ninakwenda kununua vitu vingi leo. Nitanunua matunda mbalimbali kamamaembe, mapapai, na machungwa. Wewe utanunua nini? Halima: Mimi nitanunua vinywaji vichache sana kama: soda, pombe, maji ya machungwa, na divai. Pia nitanunua vifaa vya shule. Anna: Haya, twende dukani sasa! *At the shop/store* Mwuzaji : Karibu! Karibu! Anna na Halima: Asante. Mwuzaji: Habari za mchana? Anna na Halima: Salama sana. Anna: Daftari hili bei gani? Mwuzaji: Shilingi ishirini. Anna: Na kitabu bei gani? Mwuzaji: Shilingi kumi na tisa. Anna: Vipi, bei haipungui? Bei ghali sana! Mwuzaji: Haipungui. Bei ni rahisi sana/hakuna maslahi/faida. Anna: Ninataka madaftari saba.Mwuzaji: Vipi, hutaki kitabu? Anna: Hapana. Leo sina pesa nyingi/sina pesa za kutosha. Mwuzaji: Asante.Anna: Kalamu bei gani? Mwuzaji: Shilingi kumi. Anna: Na rula bei gani? Mwuzaji: Shilingi ishirini na tano. Anna: Vipi, bei haipungui? Bei ghali sana. Mwuzaji: Haipungui. Bei ni rahisi/hakuna maslahi/faida. Anna: Nipe kalamu tatu na rula nne. Mwuzaji: Sawa. Na wewe je? Halima: (You can continue the same dialogue with Halima buying fruits, drinks,spices, foods, school items, etc.). Anna na Halima: Kwaheri. Mwuzaji: Kwaheri. Tutaonana baadaye. |
No comments:
Post a Comment