Lesson 26

Colors [rangi]

A). Colors

eupe [white]

eusi [black]


ekundu [red]


samawati; samawi / bluu [sky blue]


rangi ya kibichi/manjani (kijani) [green (color of leaves)]


rangi ya machungwa [orange]


rangi ya kijivujivu (majivu) [gray]


rangi ya maji ya kunde/kahawia rangi ya kahawa[brown (coffee)]


rangi ya manjano / njano [yellow (color of turmeric)]


rangi ya zambarau [purple (tropical fruit)]


rangi ya shaba [bronze]


rangi ya fedha [silver]


rangi ya dhahabu / zari [gold]


rangi ya almasi [diamond]


rangi ya urujuani [violet]


rangi ya bluu [blue]


rangi ya hudhurungi [mustard]


rangi ya waridi [pink (color of roses)]


rangi ya giza [dark color]


rangi ya mwangaza [light color]


mchanganyiko wa hudhurungi na nyeupe [roan]


angirangi [multi-colored]


rangi ya samli (maziwa/kisamli) [white]


rangi ya bluu giza [dark blue]


rangi ya bluu mwangaza [light blue]


rangi ya manjani giza [dark green]


rangi manjani mwangaza
[light green]

rangi ya nili[dark blue]


B). Colors of the Rainbow
nyekundu [red]

rangi ya machungwa [orange]


rangi ya manjano / njano [yellow]


rangi ya kibichi/majani (kijani) [green]


samawati / samawi [blue]


nili [indigo]


rangi ya urujuani [violet]

Zingatia [note]
rangi
vaa
nguo
[color]
[wear]
[cloth]

Question Formation
Mifano:
1. (Wewe) Umevaa nguo za rangi gani?[What are the colors of the clothes you have on?] 

a). (Mimi) Nimevaa nguo za rangi nyeusi na kijani.[I am wearing clothes of the colors black and green.]

b). (Mimi) Nimevaa nguo za rangi nyeusi, nyekundu, na kahawia.[I am wearing clothes of the colors black, red, and brown.]
 


2. (Wewe) Unapenda rangi gani?[What colors do you like?](Mimi) Ninapenda rangi za kahawia, zambarau, kijivu, na nyeupe.[I like brown, purple, grey, and white colors.] 

3. Rangi za upinde wa mvua ni gani?[What are the colors of the rainbow?] 
Rangi za upinde wa mvua ni ________________.[The colors of the rainbow are ________________.]

 Colors and Noun Agreements

Only three colors exhibit agreement with the noun; white, black, and red. All other colors do not follow this pattern as the following examples show:

1). Rangi ya kijani


2). Rangi ya manjano


3). Rangi ya bluu


4). Rangi ya kahawia


5). Rangi ya zambarau


Colors and their agreements in various noun classes
NGELI
[NOUN CLASS]
NOUN [ JINA ] RANGI
‐EUPE‐
‐EUSI‐ ‐EKUNDU‐
M
WA
Mvulana
Wavulana
Mweupe
Weupe
Mweusi
Weusi
Mwekundu
Wekundu
KI
VI
Kiatu
Viatu
Cheupe
Vyeupe
Cheusi
Vyeusi
Chekundu
Vyekundu
M
MI
Mpira
Mipira
Mweupe
Mieupe
Mweusi
Mieusi
Mwekundu
Miekundu
JI
MA
Gari
Magari
Jeupe
Meupe
Jeusi
Meusi
Jekundu
Mekundu
N
N
Nyumba
Nyumba
Nyeupe
Nyeupe
Nyeusi
Nyeusi
Nyekundu
Nyekundu
U
ZI
U
U
Ukuta
Kuta
Uzi
Nyuzi
Mweupe
Nyeupe
Mweupe
Nyeupe
Mweusi
Nyeusi
Mweusi
Nyeusi
Mwekundu
Nyekundu
Mwekundu
Nyekundu
KU
KU
Kuimba
Kuimba
Kweupe
Kweupe
Kweusi
Kweusi
Kwekundu
Kwekundu
PA
PA
Pahali
Pahali
Peupe
Peupe
Peusi
Peusi
Pekundu
Pekundu
MU
MU
Maktabani
Maktabani
Mweupe
Mweupe
Mweusi
Mweusi
Mwekundu
Mwekundu


 Mifano:

1). Nguo nyeupe imenunuliwa. [The red cloth has been bought.]
Nguo
nyeupe zimenunuliwa [The red cloths have been bought.]


2).Mtoto
mweupe analala kitandani.
Watoto
weupe wanalala kitandani.
[The Caucasian child is sleeping in bed.]
[The Caucasian children are sleeping in
bed.]


3).Kiti cha babu ni
cheupe.
Viti vya babu ni
vyeupe.
[Grandfather’s chair is white.]
[Grandfather’s chairs are white.]


4).Gari la Derrick ni
jekundu.
Magari ya Derrick ni
mekundu.
[Derrick’s car is red.]
[Derrick’s cars are red.]


5).Mpira wa Mike ni
mweusi.
Mipira ya Mike ni
mieusi.
[Mike’s ball is black.]
[Mike’s balls are black.]


6).Rangi ya mbingu ni
bluu /samawati/samawi.
Rangi za mbingu ni
bluu /samawati/samawi.
[The color of the sky is blue.]
[The colors of the sky are blue.]


7).Rangi ya maziwa ni
nyeupe. [The color of milk is white.]
Rangi za maziwa ni
nyeupe. [The colors of milk are white.]


8).Rangi ya damu ni
nyekundu.
Rangi za damu ni
nyekundu[The color of blood is red.]
[The colors of blood are red.]


9).Rangi ya theluji ni
nyeupe.
Rangi za theluji ni
nyeupe.
[The color of snow is white.]
[The colors of snow are white.]


No comments:

Post a Comment