Months of the Year [miezi ya mwaka]
Mwezi/Miezi [Month(s)]
A). Months |
Januari mwezi wa kwanza (first) January Februari mwezi wa pili February Machi mwezi wa tatu March Aprili mwezi wa nne April Mei mwezi wa tano May Juni mwezi wa sita June Julai mwezi wa saba July Agosti mwezi wa nane August Septemba mwezi wa tisa September Oktoba mwezi wa kumi October Novemba mwezi wa kumi na moja November Desemba mwezi wa kumi na mbili December |
Zingatia [note] | |
tarehe mwezi/miezi mwaka/miaka zaliwa lini | [date] [month(s)] [year(s)] [to be born] [when] |
Question Formation |
Mfano: |
1. Ulizaliwa lini?[When were you born?] Nilizaliwa tarehe mbili, mwezi wa tisa, mwaka wa elfu moja mia tisa themanini na tano.[I was born September 2, 1985.] |
No comments:
Post a Comment