Lesson 8

Locations [kutoka na kukaa/kuishi]

How to talk about location and introduce yourself in detail:NameCountry, State, CityCurrent residenceSchoolLanguages you speak

A). Locations

bara [continent]
nchi [country]
jimbo [state]
jiji [big city]
wilaya [district; county]
mji [city]
kijiji [village]
kitongoji [small village; hamlet]
mtaa [neighborhood]
kisiwa
tarafa
kata
kiunga
mkoa
[island]
[division]
[ward]
[suburb; outskirt]
[province]

Zingatia [Note]

[come from]
[live; reside]
[street; road]
[near]
[but]
[for now]
[at; within]
kaa/ishi
barabara
karibu na
lakini
kwa sasa
katika

toka
Question Formation
Mifano:
1. Wewe unatoka wapi?[Where do you come from?]Mimi ninatoka jimbo la Kansas, mji wa Lawrence.[I come from the state of Kansas, city of Lawrence.]2. Wewe unakaa/unaishi wapi?[Where do you live?]Mimi ninakaa/ninaishi mji wa Lawrence.[I live in the city of Lawrence.]

Sentence Formation
Mifano:1. Your name Jina langu ni / Mimi ninaitwa ___. [My name is / I am called ___.]2. Where you come from and Where you live now Mimi ninatoka nchi ya ___ , [I come from the country of ___ , jimbo la ___ , mji wa ___ , the state of ___ , the city of ___ , lakini kwa sasa but for now mimi ninaishi/ninakaa mtaa wa __ , I live in the neighborhood of ___ ,karibu na ___ , barabara ya ___. near ___ , street/avenue of ___.]3. What you study and Where Ninasoma ___ katika chuo kikuu cha___.[I study ___ at the University of____.]4. What languages you speak Ninazungumza ___.Ninasema/Ninaongea Kiingereza kingi na Kiswahili kidogo.[I speak ___.][I speak a lot of English and a little Kiswahili.]


How to introduce yourself in detail: [Jitambulishe kwa undani:]Jina langu ni Tyrone/Ninaitwa Tyrone. Mimi ninatoka nchi ya
Amerika, jimbo la Kansas, mji wa Kansas City, lakini kwa sasa
mimi ninaishi/ninakaa mtaa wa Lawrence, karibu na
McDonald’s, barabara ya 23rd. Ninasoma mawasiliano katika
chuo kikuu cha Kansas. Ninasema Kiingereza kingi na Kiswahili
kidogo.
[My name is Tyrone/I am called Tyrone. I come from America,
the state of Kansas, city of Kansas City, but now I
live/stay/reside in Lawrence, near McDonald’s on 23
rd Street. I
study communication at the University of Kansas. I speak a lot
of English and a little Kiswahili.]

No comments:

Post a Comment