Foods [vyakula]
A). Foods
Chakula / vyakula[food / foods]
mboga / mboga[vegetable / vegetables]
dengu / dengu [mung bean / lentils]
jibini / jibini [cheese / cheeses]
kabeji / kabeji;kabichi[cabbage / cabbages]
kiazi / viazi [potato / potatoes]
maharagwe / mandondo[bean / beans]
mahindi [maize / corn]
mahindi ya kuchoma[roasted maize / corn]
mbaazi / mbaazi[pea / peas]
mchele [uncooked rice]
wali [cooked rice]
mchicha / michicha [spinach / spinaches]
mchuzi / michuzi [soup / soups]
muhogo / mihogo [cassava / cassavas]
nyama / nyama [meat / meats]
nyama ya kondoo [mutton]
nyama ya kuku [chicken meat]
nyama ya mbuzi [goat meat]
nyama ya ng'ombe [beef]
nyama ya nguruwe [pork]
nyama ya kuchoma [roasted/grilled meat]
kuku [chicken]
samaki[fish]
pilipili[pepper]
pilipili hoho [chili pepper]
pilipili manga [black pepper]
pilipili saumu[pepper garlic]
pilipili kichaa[hot pepper]
siagi[butter]
sukuma wiki [collard greens]
unga [flour]
unga wa mahindi [corn flour]
unga wa ngano [wheat flour]
yai / mayai [egg / eggs]
vitafunio; karanga [snacks]
mkate / mikate [bread / breads]
mandazi / mandazi [bun / buns]
sandwichi [sandwich]
kimanda [toast]
chapati / chapati [Indian flat bread]
ugali / sima [stiff cornmeal porridge]
njugu / njugu [groundnut / peanuts]
karoti / karoti [carrot / carrots]
choroko [green peas]
njegere [pigeon peas]
bamia [okra]
kisamvu [cassava leaves]
figo/figo[kidney / kidneys]
maini / maini[liver / livers]
matumbo / matumbo [intestine / intestines / tripe]
mbatata [Irish potatoes]
biringani / biringanyamabiringani[eggplant / eggplants]
saladi[salad]
brokoli[broccoli]
pasta[pasta]
pizza[pizza]
pipi[candy]
chokoleti[chocolate]
isikirimu[ice cream]
keki[cake]
mgando[yoghurt]
mchanganyiko[mixture]
supu[soup]
uyoga[mushroom]
uji[porridge]
muhogo / mihogo[cassava / cassavas]
viazi vikuu[sweet potatoes]
kaimati / kaimati[fritter / fritters]
pilau / pilau[pilaf / pilafs]
sambusa / sambusa[samosa / samosas]
kande / pure[dish of mixed corn and beans]
ndizi / matoke[banana / plantain /bananas / plantains]
ndizi / matoke
kibanzi / vibanzi /chipsi[french fries]
borohoa / kihembe[thick broth of cooked beans]
borohoa / vihembe
B). Spices [Viungo]kiungo / viungo [spice / spices]
Bizari [curry powder]Kitunguu [onion]
kitunguu saumu /vitunguu saumu[garlic / garlics]
nyanya [tomatoes]
mafuta [oil]
chumvi [salt]
sukari [sugar]
pilipili [pepper]
iliki [cardamom]
mdalasini[cinnamon]
tangawizi[ginger]
magadi[baking soda / bicarbonate of soda]
lavani[vanilla]
giligilani[coriander seed]
mgiligilani /dhania[cilantro]
karafuu / karafuu[clove / cloves]
Zingatia [Note]
na [and]
pia [also; too]
lakini [but]
Question Formation
Mifano:
1. Wewe unapenda kula chakula gani?[What food do you like to eat?]
a). Mimi ninapenda kula ___. [I like to eat ___.]
b). Mimi sipendi ___. [I do not like ___.]
2. Wewe unapenda chakula gani?[What food do you like?]
a). Mimi ninapenda ___. [I like ___.]
b). Mimi sipendi ___. [I do not like ___.]
3. Wewe unapenda kununua chakula gani?[What food do you like to buy?]
a). Mimi ninapenda kununua ___. [I like to buy ___.]
b). Mimi sipendi ___. [I do not like ___.]
4. Wewe unapenda kupika chakula gani?[What food do you like to cook?]
a). Mimi ninapenda kupika ___. [I like to cook ___.]
b). Mimi sipendi kupika ___. [I do not like to cook ___.]
5. Wewe hupendi chakula gani?[What food don’t you like?]
No comments:
Post a Comment