Household Chores and Daily Activities [shughuli za kila siku]
A). Household Chores |
fua nguo [wash clothes] kamua nguo [rinse clothes] kausha nguo [dry clothes] osha uso [wash the face] nawa mikono [clean the hands] osha/ogesha mtoto [wash the child] pakua chakula [serve the food] pasa nguo [iron clothes] piga pasi [iron] pika chakula [cook food] safisha chumba [clean the room] tandika kitanda [make the bed] piga deki [mop the house] panguza meza [dust the table] panga nguo [arrange clothes] piga huva [vacuum clean] chemsha chai/chakula [boil tea/food] oga bafuni [take a shower in the bathroom] fua nguo [wash clothes] kamua nguo [rinse clothes] |
B). Daily Activities |
kuamka [to wake up] kunawa uso [to wash the face] kuoga bafuni [to take a shower] kula/kupata chakula cha asubuhi, kula/kupata staftahi, kula/kupata kiamshakinywa [to eat breakfast] kula/kupata chakula cha mchana, kula/kupata maankuli [to eat lunch] kula/kupata chakula cha jioni/usiku [to eat dinner] kupiga mswaki [to brush the teeth] kwenda darasani [to go to class] kusoma historia [to study history] kulala [to sleep] kwenda michezoni [to go play sports] kukimbia [to run] kufanya mazoezi [to do exercises] kwenda kazini [to go to work] kwenda filamuni [to go to a movie] kwenda maktabani [to go to the library] kwenda dukani [to go to the stores] kwenda sokoni [to go to the market] kufanya kazi ya nyumbani [to do homework] kwenda mkutanoni [to go to a meeting] kwenda kanisani [to go to church] kwenda karamuni [to go to a party] kustarehe / kupumzika nyumbani [to rest at home] kuona televisheni [to watch television] kufanya marudio [to do review] kwenda mkahawani [to go to a restaurant] kupiga chapa [to type] kupiga picha [to take a picture] kupiga simu [to make a call] |
Sentence Formation | |
Mifano: | |
1. Mama yako anapika chakula kizuri.[Your mother is cooking good food.] 2. Kabla ya kula, tafadhali nawa/osha/safisha mikono.[Before eating, please wash/clean your hands.] 3. Yeye hufua nguo kila wikendi/saa.[He/She washes clothes every weekend/time.] 4. Nitatandika kitanda baada ya kuamka.[I will make the bed after I wake up.] 5. Mama huoga/huogesha mtoto bafuni.[The mother washes the child in the bathtub.] 6. Jana nilienda filamuni/karamuni/maktabani/dukani/sokoni.[Yesterday I went to a movie/party/library/store/market.] 7. Rafiki yangu na mimi tutasoma historia.[My friend and I will study history.] 8. Mimi hupata staftahi/hula chakula cha asubuhi katika mkahawa kila asubuhi.[I get breakfast at a café each morning.] 9. Baba yangu anapenda kuona televisheni.[My father likes to watch television.] 10. Mimi hupiga mswaki kabla ya kulala.[I brush my teeth before sleeping.] 11. Nitaenda dukani baada ya darasa.[I will go to the store after class.] 12. Nitaenda mkahawani kabla ya kwenda maktabani.[I will go to the restaurant before going to the library.] 13. Nitatandika kitanda baada ya kuamka.[I will spread the bed after
|
No comments:
Post a Comment