Various Personalities [watu mbalimbali]
A). Various Personalities |
daktari [doctor] daktari wa meno [dentist] daktari wa macho [optician; eye specialist] nesi [nurse] mkunga [midwife; nurse] dereva [driver] kipofu [blind person] kibogoyo [toothless person] mjamzito [pregnant woman] chongo [a squint] mwendawazimu; kichaa [mad person] kiguru [disabled person (leg)] kibyongo [hunchback] kiziwi [deaf person] bubu [dumb person] mwizi [thief] jambazi [robber] dobi [launder] hakimu [judge] kadhi [Islamic judge] wakili; mwanasheria [lawyer] mshtakiwa [accused person] mtetezi [defendant] shahidi / mashahidi [witness / witnesses] karani [clerk] kinyozi [barber] mfanyibiashara [businessman] mchongaji [sculptor] mfinyanzi [potter] mchungaji [shepherd] mjane [widow] mfugaji [livestock farmer] |
mhunzi [blacksmith]
mjenzi [construction worker]
mkalimani [interpreter]
mkulima [farmer]
mnajimu [astrologist]
mpishi [cook]
mshairi [poet]
mtafiti [researcher]
mvuvi [fisherman]
mwaguzi [dream interpreter]
mwalimu [teacher]
mhadhiri [lecturer; instructor]
ustadh; ustadhi [professor]
profesa [professor]
padre; kasisi [clergy]
sheha [imam (Islamic leader)]
mpelelezi; jasusi [spy; detective; investigator]
ofisa wa polisi; askari; polisi [police officer]
mekanika [mechanic]
nahodha [sea captain]
nahodha wa meli [ship crewman]
mwashi [mason]
rubani [pilot]
seremala [carpenter]
sonara [jeweler]
mchimba madini [miner]
tabibu [healer; physician]
mchuuzi [retailer]
mfanyakazi; mtumishi [worker]
mhandisi [engineer]
mhariri [editor]
tarishi; mjumbe [postman; messenger]
sogora [drummer]
msajili [registrar]
msusi [hairbraider; beautician]
msasi [hunter]
mlanguzi [smuggler]
mlanguzi wa madawa [drug dealer]
mshenga [matchmaker]
naibu [deputy; assistant; acting officer]
baharia [sailor]
utingo; tanboi [luggage manager]
mbunge [MP; Senator]
diwani [council person]
topasi [janitor]
saisi [one who takes care of horses]
rais; raisi [president]
gavana [governor]
mwakilishi [representative; congress person]
waziri [minister; cabinet secretary]
waziri wa afya [Minister/Secretary of Health]
meya [mayor]
mfalme [king]
malkia [queen]
mganga [healer; physician]
maskini; fukara [poor person]
mwadhini [muezzin]
jumbe [village elder; chief; headman]
mpagazi; mchukuzi; hamali [carrier; porter]
kiranja [student leader]
mshona viatu [cobbler]
dalali [auctioneer]
jemadari [commander in chief; chief of staff]
uledi [cabin boy]
liwali [administrative official; headman]
mwenyekiti [chairman; chairperson]
katibu wa chama [secretary of the association]
mwanachama [member]
mwekahazina [treasurer]
nokoa [farm manager]
yaya [nanny]
kuli [dockworker]
somo [confidante; intimate friend]
mhasibu [accountant]
mtemakuni [firewood fetcher]
mpigaramli [fortune teller]
mtumishi [servant; waiter; worker; laborer]
mkutubi [librarian]
shaibu [old man]
ajuza [old woman]
kikongwe; mzee [old person]
kingori [young man]
mtanashati [teenage boy]
mume; mwanamume; janadume [man]
mwari [young woman]
mwanamwali [teenage girl]
mke; mwanamke; janajike [woman]
tajiri; mkwasi [rich person]
mchawi [witch]
mkuu wa chuo; rais wa chuo [university president]
mwenyekiti idara [head of department]
mkuu wa kitivo [dean]
ofisa wa chuo[university official]
mpakaji rangi[painter]
muuzaji[salesperson]
mwongo; mlaghai[liar]
mjinga[stupid]
mnafiki[pretender; liar]
mfitini[inciter]
msaliti[traitor]
B). Personalities that begin with mwana‐ |
Zingatia: mwana [child]. |
mwanamuziki [musician] mwanasayansi [scientist] mwanaanga[astronaut]mwanahewa[mathematician] mwanamitindo [fashion designer] mwanamichezo [sportsman/sportswoman] mwanasanaa [artist] mwanamaji [marine] mwanajeshi [soldier] mwanaisimu [linguist] mwanahistoria [historian] mwanabayolojia [biologist] mwanaanthropolojia [anthropologist] mwanasheria [lawyer] mwanasiasa [politician] |
Zingatia [note] | |
fanya sijui si sina kazi taka inategemea gani ungependa ungetaka | [do] [I do not know] [is not] [I do not have] [work/employment] [want] [it depends] [which] [you would like] [you would want] |
Question Formation | |
Mifano: | |
1. Baba/Mama/Kaka yako anafanya kazi gani? [What work does your dad/mom/brother do?] a). Yeye ni _____. [He/She is _____.] b). Sijui. [I do not know.] c). Yeye anafanya kazi ya _____. d). Anafanya kazi mbalimbali/ tofauti tofauti.[He/She does work of _____.][He/She does various work/jobs.] e). Anafanya kazi za aina mbalimbali/ tofauti tofauti. f). Hana kazi.[He/She does various types of jobs/work.][He/She does not have work.] g). Sijui anafanya kazi ya aina gani. [I do not know what type of work he/she does.] 2. Unafanya kazi gani?[What work do you do?] a). Mimi ni _____. [I am _____.] b). Ninafanya kazi ya _____. [I do work of _____.] c). Sina kazi. [I do not have work.] d). Sifanyi kazi. [I do not work.] e). Sifanyi kazi yoyote. [I do not do any work.] | |
3. Unapenda kazi gani?[What work do you like?] a). Ninapenda _____. [I like________.] b). Ninapenda kazi ya _____. [I like _______.] 4. Hupendi kazi gani?[What work don’t you like?] a). Sipendi ________. [I don’t like_____.] b). Sipendi kazi ya _____. [I don’t like the work of _____.] | |
5. Unafanya kazi wapi?[Where do you work?] a). Ninafanya kazi [I work at the |
mkahawani/maktabani/ dukani/baani/ katika duka la vitabu/bwenini. restaurant/library/ shop(store)/bar/bookstore/dormitory.] 6. Je, unapenda kufanya kazi mkahawani?[Do you like working at the restaurant?] a). Ndiyo. [Yes.] b). La/[No.] Kwa nini?[Why?] Sipendi kuosha sahani,vikombe, na zulia.[I don’t like cleaning plates, cups, and carpets.] |
7. Je, kuna kazi nyingi mkhawani?[Is there a lot of work at the restaurant?] a). Inategemea. [It depends.] b). Inategemea watu, kazi, saa,siku….c. Inategemea aina ya kazi.[It depends on the people, work, time, day...][It depends on the kind of work/job] 8. Unataka/Ungependa kufanya kazi gani baada ya shule?[What kind of work do you want/would you like to doafter school?] a). Ningetaka/Ningependa kufanya kazi ya udaktari.[I would want/like to work in a medical profession.] b). Ningetaka/Ningependa kuwa daktari. [I would want/like to be a doctor.] |
Various Professions [kazi mbalimbali]
Names of professions are formed with the prefix U‐
A). Various Professions |
udaktari [medicine ] unesi [nursing] udereva [driving] ujenzi [construction] ukulima [farming] upishi [cooking] utafiti [research] uvuvi [fishing] ualimu [teaching] uprofesa [professorship] upadre; uhubiri [preaching] upelelezi [spying] umekanika [auto mechanics] uhandisi [engineering] ukutubi [librarianship] uaskari [policing] urubani [piloting] uandishi [journalism] useremala [carpentry] uakili [law] ususi [cosmetology] uhasibu uhakimu ukarani upishi uchuuzi unahodha ufugaji udobi ubunge upolisi [accounting] [law] [clerical work] [catering] [salesmanship] [sailing] [livestock farming] [laundry] [politics] [security] |
ugavana
ushairi
ufinyazi
uchongaji
uhariri
usasi
utumishi
uanajeshi
uchoraji
[governorship]
[poetry]
[pottery]
[sculpting]
[editing]
[hunting]
[waiter]
[military officer/officer]
[art work]
Zingatia [note] | |
fanya sijui si sina | [do] [I do not know] [is not] [I do not have] |
Question Formation |
Mifano: |
1. Baba/Mama/Kaka yako anafanya kazi gani?[What work does your dad/mom/brother do?] a). Yeye ni _____. [He/She is _____.] b). Sijui. [I do not know.] c). Yeye anafanya kazi ya _____.[He/She does work of _____.] d). Hana kazi. [He/She does not have work.] e). Sijui anafanya kazi ya aina gani.[I do not know what type of work he/she does.] 2. Unafanya kazi gani?[What work do you do?] a). Mimi ni _____. [I am _____.] b). Ninafanya kazi ya _____. [I do work of _____.] c). Sina kazi. [I do not have work.] d). Sifanyi kazi. [I do not work.] e). Sifanyi kazi yoyote. [I do not do any work.] |
No comments:
Post a Comment