Body Parts [sehemu za mwili]
A). Sehemu za mwili za nje [External body parts] |
kichwa / vichwa [head / heads] jicho / macho [eye / eyes] pua / mapua [nose / noses] mdomo / midomo [mouth / mouths] kidevu / videvu [chin / chins] kidakatonge / vidakatonge [Adam's apple / Adam's apples] kifua / vifua [chest / chests] kwapa / kwapa [armpit / armpits] tumbo / matumbo [stomach / stomachs] kitovu / vitovu [navel / navels] mkono / mikono [hand(arm) / hands(arms)] nyonga / nyonga [wrist / wrists] kidole / vidole [digit / digits (i.e. finger, toe)] paja / mapaja [thigh / thighs] goti / magoti [knee / knees] muundi / miundi [shin / shins] kifundo cha mguu / vifundo vya mguu [ankle / ankles] unyayo / nyayo [sole / soles (of the foot)] kisigino / visigino [heel / heels] tako / matako; kalio / makalio [butt / butts; bottom / bottoms] kiuno / viuno [waist / waists] kisugudi / visugudi [elbow / elbows] mgongo / migongo [back / backs] bega / mabega [shoulder / shoulders] shingo / mashingo [neck / necks] ndewe / ndewe [earlobe / earlobes] sikio / masikio [ear / ears] |
kisogo / visogo [back of head]
unywele / nywele [a hair / hair]
utosi [crown of the head / center part of the head]
uso / nyuso [face / faces]
mboni ya jicho /
mboni za macho
[eyeball / eyeballs]
kigubiko cha jicho /
vigubiko vya macho
[eyelid / eyelids]
usi wa jicho /
nyusi za macho
[eyebrow / eyebrows]
tundu la pua /
matundu ya mapua
[nostril / nostrils]
jino / meno [tooth / teeth]
ulimi / ndimi [tongue / tongues]
shavu / mashavu [cheek / cheeks]
ndevu / ndevu [beard / beards]
koo / koo [throat / throats]
titi / matiti [breast / breasts]
vidole vya mkono [fingers]
vidole vya mguu [toes]
ukucha / kucha [nail / nails]
ngozi / ngozi [skin / skins]
malaika / malaika [a body hair / body hair]
mbeleni / mbeleni [private part / private parts]
Idiomatic Expressions | |
vunjika mkono kuanguka chini kujigonga chini kugongwa na gari | [break the hand] [to fall (down)] [to knock yourself down] [to be hit/knocked down by a car] |
Internal Body Parts
B). Sehemu za mwili za ndani [Internal body parts] |
ubongo / bongo [brain / brains] chango / chango ulimi / ndimi [small intestine] [tongue / tongues] utumbo / tumbo moyo / mioyo [large intestines / guts] [heart / hearts] figo / figo [kidney / kidneys] kibofu / vibofu [bladder / bladders] ubavu / mbavu [rib / ribs] pafu / mapafu [lung / lungs] ini / maini [liver / livers] nyongo [bile] wengu / mawengu [spleen / spleens] tumbo / matumbo [stomach / stomachs] mshipa / mishipa [vein / veins] damu [blood] kongosho / kongosho [pancreas] musuli / misuli ufizi / fizi [muscle / muscles] [gum / gums] kilimi / vilimi [uvula / uvulas] mfupa / mifupa[bone / bones] koromeo / makoromeo /koo / zoloto / dundumio /kongomeo[larynx / throat / esophagus / gullet / air passage] |
Zingatia [note] | |
uma umwa mwili maumivu sehemu inauma | [hurt] [to be hurt] [body] [pain] [part] [one that hurts / pains] |
Question Formation |
Mifano: |
1. Ni sehemu gani inauma mwilini?[Which part of the body is hurting?] a). Ni sehemu ya mguu. [It is the leg part.] b). Ni mguu. [It is the leg.] c). Ninasikia maumivu mguuni. [I am feeling pain in the leg.] d). Ninaumwa mguuni. [I am hurt in the leg.] e). Mguu wangu unauma. [My leg is hurting.] 2. Ni sehemu gani ya mwili inauma?[Which part of the body is hurting?] a). Ni sehemu ya kichwa. [It is the head part.] b). Ni kichwa. [It is the head.]3. Unasikia maumivu katika sehemu gani ya mwili?[Which part of the body are you feeling pain?]Ninasikia maumivu katikakichwa(ni).[I am feeling pain in the head.] |
Parts of the head [sehemu za kichwa] |
utosi / utosi [crown / crowns] paji / mapaji [forehead / foreheads] sikio / sikio [ear / ears] ndewe / ndewe [earlobe / earlobes] sharafa / masharafa [sideburn / sideburns] mianzi ya pua [nostrils] kinywa / vinywa [mouth / mouths] udevu / ndevu [beard / beards] kionjamchuzi [goatee] mdomo / midomo [mouth / mouths] masharubu [moustache] shavu / mashavu [cheek / cheeks] pua / mapua [nose / noses] taya / taya [jaw / jaws] jicho / macho [eye / eyes] unywele / nywele [a hair / hairs] |
No comments:
Post a Comment