Family [jamaa; familia]
A). Family |
babu [grandfather] babu mkubwa; babumkuu [elder grandfather] nyanya; bibi [grandmother] nyanyamkuu; bibimkuu; [elder grandmother] nyanya mkubwa mzazi [parent] baba [father] baba mkubwa; babamkuu [elder uncle (father's elder brother)] baba mdogo [younger uncle (father's younger brother)] baba wa kambo [stepfather] mama [mother] mama mkubwa; mamamkuu [elder auntie (mother's elder sister)] mama mdogo [younger auntie (mother's younger sister)] mama wa kambo [stepmother] mke; bibi [wife] mume [husband] mtoto/mwana [child] kaka [elder brother; male sibling] dada [elder sister; female sibling] ndugu [brother; sister; citizen; comrade; friend; fellow tribesman; conational] mzee [elder] Mjomba; ami [uncle in general (usually paternal uncle)] shangazi; mbiomba [maternal aunt] mpwa [nephew] binamu [cousin] binti [daughter of] bin [son of] mvulana [boy] |
msichana [girl]
kijana [youth; young man; teenager]
familia [family]
mkwe [an in-law]
mama mkwe; mavyaa [mother-in-law]
baba mkwe; bavyaa [father-in-law]
mkaza; mkaza mwana [daughter-in-law]
shemeji; mwamu [sister-in-law; brother-in-law; relative by marriage]
wifi [sister-in-law (brother's wife or husband's sister)]
mwanamke [woman]
mwanamume [man]
kifungua mimba [first born child]
kitinda mimba;
kifunga mimba
[last born child]
mjukuu [grandchild]
kitukuu [great grandchild (2nd generation)]
kinying’inya [great, great grandchild (3rd generation)]
kilembwe [great, great, great grandchild (4th generation)]
kilembwekeza [great, great, great, great grandchild (5th generation)]
kitojo [great, great, great, great, great grandchild (6th gen.)]
ami [paternal uncle]
mwanyumba [different men who have married blood sisters
call each other mwanyumba]
wakewenza [co-wives]
Zingatia [Note] | |||
mkubwa; mkuu mdogo na nina sina yangu lakini pekee tu penda ngapi | [bigger/elder/older] [smaller/younger/little] [have] [I have] [I do not have] [my] [but] [only] [only/just] [like] [how many] |
Question Formation |
Mifano: |
1. Una kaka?[Do you have a brother?]a). Ndiyo, nina kaka. [Yes, I have a brother.]b). La, sina kaka. [No, I do not have a brother.]c). La, sina kaka lakini nina dada.[No, I do not have a brother but I have a sister.] 2. Kaka yako anaitwa nani? | Yeye anaitwa nani?[What is your brother’s name?] [What is his name?]Kaka yangu anaitwa John. / Yeye anaitwa John.[My brother’s name is John. / His name is John.] |
Additional Questions | |
3. Kaka yako anasoma nini? Kaka yangu anasoma siasa. (Yeye) Anasoma elimu ya siasa.4. Anaishi wapi? Anaishi katika jimbo la New York. 5. Kaka yako anaishi wapi?Kaka yangu anaishi katika jimbo la New York.6. Ana miaka mingapi?Ana miaka ishirini na minane. 7. Kaka yako ana miaka mingapi?Kaka yangu ana miaka ishirini na minane.8. Anapenda chakula gani? Anapenda mchicha na jibini. 9. Kaka yako anasema lugha gani?Kaka yangu anasema ________. | [What does your brother study?][My brother studies political science.] [He studies political science.][Where does he live?][He lives in New York.]Where does your brother live?[My brother lives in New York.][How old is he?][He is 28 years old.][How old is your brother?][My brother is 28 years old.][What food does he like?][He likes spinach and cheese.][What language does your brother speak?][My brother speaks ________.] |
10. Kaka yako anasoma wapi? Kaka yangu anasoma ________. 11. Kaka yako anapenda chakula gani?Anapenda ____________. 12. Una kaka/dada wangapi? a). Nina kaka moja na dada wawili/watatu/wane/watano/ sita. b). Mimi ni mtoto wa pekee. c). Mimi ni kifungua mimba na kifunga mimba. d). Sina kaka, sina dada. | [Where does your brother study/go to school?][My brother studies at ________.][What food does your brother like?][He likes ____________.][How many brothers/sisters do you have?[I have one brother and two sisters/three sister/ four sisters/five sisters/ six sisters.] [I am an only child.] [I am the first and last born.] [I h |
No comments:
Post a Comment