Numbers and Counting [nambari na hesabu]
A). Numbers
B). The order in which the numbers are stated
C). How numbers and noun class [ngeli] go together
D). Questions with numbers (age, siblings, house, year, phone)
A). Numbers |
0 - 9sifuri [zero] moja [one] mbili [two] tatu [three] nne [four] tano [five] sita [six] saba [seven] nane [eight] tisa [nine]kumi (0)kumi [ten] kumi na moja [11] kumi na mbili [12] kumi na tatu [13] kumi na nne [14] kumi na tano [15] kumi na sita [16] kumi na saba [17] kumi na nane [18] kumi na tisa [19] ishirini [20] |
thelathini [30]
arobaini [40]
hamsini [50]
sitini [60]
sabini [70]
themanini [80]
tisini [90]
mia (00)mia; mia moja [100]
mia mbili [200]
mia tatu [300]
mia nne [400]
mia tano [500]
mia sita [600]
mia saba [700]
mia nane [800]
mia tisa [900]
elfu (000)elfu; elfu moja [1,000]
elfu mbili [2,000]
elfu tatu [3,000]
elfu nne [4,000]
elfu tano [5,000]
elfu sita [6,000]
elfu saba [7,000]
elfu nane [8,000]
elfu tisa [9,000]
laki moja; elfu mia moja [100,000]
laki mbili; elfu mia mbili [200,000]
laki tatu; elfu mia tatu [300,000]
laki nne; elfu mia nne [400,000]
laki tano; elfu mia tano [500,000]
laki sita; elfu mia sita [600,000]
laki saba; elfu mia saba [700,000]
laki nane; elfu mia nane [800,000]
laki tisa; elfu mia tisa [900,000]
milioni (000,000)milioni; milioni moja [1,000,000]
milioni mbili [2,000,000]
milioni tatu [3,000,000]
milioni nne [4,000,000]
milioni tano [5,000,000]
milioni sita [6,000,000]
milioni saba [7,000,000]
milioni nane [8,000,000]
milioni tisa [9,000,000]
bilioni (000,000,000)bilioni; bilioni moja [1,000,000,000]
bilioni mbili [2,000,000,000]
bilioni tatu [3,000,000,000]
bilioni nne [4,000,000,000]
bilioni tano [5,000,000,000]
bilioni sita [6,000,000,000]
bilioni saba [7,000,000,000]
bilioni nane [8,000,000,000]
bilioni tisa [9,000,000,000]
B). The order in which the numbers are stated |
thelathini na moja [31] mia tatu na kumi [310] mia tatu, kumi na saba [317] elfu tatu, mia tatu kumi na saba [3,317] elfu mia tatu, mia tatu kumi na saba[300,317] milioni tatu, elfu mia tatu thelathini na tatu, mia tatu kumi na saba[3,333, 317] |
C). How numbers and noun class go together[numbers and noun agreements] |
Noun class is marked on numbers as in the examples below. When stating numbers, always start with the noun. Swahili numbers do take noun agreements except: 6, 7, 9, 10 and all the multiples. When stating numbers always start with the noun. Mifano: 1. mwanafunzi mmoja [one student] 2. wanafunzi wawili [two students] 3. wanafunzi watatu [three students] 4. wanafunzi wanne [four students] 5. wanafunzi watano [five students] 6. wanafunzi sita [six students] 7. wanafunzi saba [seven students] 8.wanafunzi wanane [eight students] 9. wanafunzi tisa [nine students] 10. wanafunzi kumi [ten students] 11. wanafunzi kumi na mmoja [eleven students] 12. wanafunzi kumi na wawili [twelve students] |
Numbers and their agreements in various noun classes
NOUN CLASS | NOUN | MOJA | MBILI | TATU | NNE | TANO | SITA | SABA | NANE | TISA | KUMI |
M WA | Mtoto Watoto | Mmoja -------- | -------- Wawili | -------- Watatu | --------- Wanne | -------- Watano | ----- Sita | ------ Saba | --------- Wanane | ---- Tisa | ------- Kumi |
KI VI | Kisu Visu | Kimoja --------- | -------- Viwili | --------- Vitatu | --------- Vinne | --------- Vitano | ----- Sita | ------- Saba | --------- Vinane | ---- Tisa | ------ Kumi |
M MI | Mguu Miguu | Mmoja --------- | -------- Miwili | --------- Mitatu | --------- Minne | --------- Mitano | ----- Sita | ------- Saba | --------- Minane | ---- Tisa | ------- Kumi |
JI MA | Jina Majina | Moja --------- | -------- Mawili | --------- Matatu | --------- Matano | --------- Matano | ----- Sita | ------- Saba | --------- Manane | ---- Tisa | ------- Kumi |
N N | Nyumba Nyumba | Moja --------- | -------- Mbili | --------- Tatu | --------- Nne | --------- Tano | ----- Sita | ------- Saba | --------- Manane | ---- Tisa | ------- Kumi |
U ZI U U | Ukuta Kuta Uji Uji | Mmoja --------- --------- --------- | -------- Mbili -------- -------- | --------- Tatu --------- --------- | --------- Nne --------- --------- | --------- Tano --------- --------- | ----- Sita ----- ----- | ------- Saba ------- ------- | --------- Nane --------- --------- | ---- Tisa ---- ---- | ------- Kumi ------- ------- |
KU KU | Kuimba Kuimba | --------- --------- | -------- -------- | --------- --------- | --------- --------- | --------- --------- | ----- ----- | ------- ------- | --------- --------- | ---- ---- | ------- ----- |
PA PA | Pahali Pahali | Pamoja --------- | Pawili -------- | --------- Patatu | --------- Panne | --------- Patano | ----- Sita | ------- Saba | --------- Nane | ---- Tisa | ------- Kumi |
MU MU | Shuleni Shuleni | --------- --------- | -------- -------- | --------- --------- | --------- --------- | --------- --------- | ----- ----- | ------- ------- | --------- --------- | ---- ---- | ------- ------- |
Mifano:
1. mwanafunzi mmoja [one student]
2. wanafunzi wawili [two students]
3. wanafunzi sita [six students]
4. wanafunzi ishirini na watatu [twenty three students]
5. wanafunzi thelathini [thirty students]
6. kiti kimoja [one chair]
7. viti viwili [two chairs]
8. viti sita [six chairs]
9. viti ishirini na vitatu [twenty three chairs]
10. viti thelathini [students]
11. mti mmoja [one tree]
12. miti miwili [two trees]
13. miti sita[six trees]
14. miti ishirini na mitatu[twenty three trees]
15. miti thelathini[thirty trees]
Mifano zaidi:
1. walimu kumi na mmoja[eleven student]
2. viti kumi na moja [eleven chairs]
3. nyumba ishirini na mbili [twenty two houses]
4. macho matano [five eyes]
5. madarasa manane [eight classes]
6. rafiki kumi na watatu [thirteen friends]
7. pahali tisa[nine places]
8. Nilinunua kalamu nne. [I bought four pens.]
9. Nina paka wawili. [I have two cats.]
10.Nina dola/shilingi tano. [I have five dollars/shillings.]
11. Nina gari moja. [I have one car.]
12.Nina madarasa sita/saba/manane/tisa/kumi/etc.[I have six/seven/eight/nine/ten classes.]
13.Nilinunua viatu viwili. [I bought two shoes.]
14.Nina miaka mitano.[I am five years old.]
15.Nina miaka kumi na minane/kumina tisa/ ishirini/ ishirini na
mmoja/ ishirini na miwili/ ishirini na mitatu.[I am eighteen/nineteen/twenty/twenty one/ twenty two/ twenty three years old.]
16.Nina miaka mia moja na mmoja [I am one hundred and one years old.]
Zingatia [Note] | |
mwaka/miaka -ngapi? Mingapi? nambari gani ni huu wangapi? simu nambari ya simu mwaka mwaka jana mwaka kesho/ujao mwaka huu/huu mwaka | [year/years] [how many?] [how many?] [number] [what?] [is] [this] [how many?] [telephone] [telephone number] [year] [last year] [next year] [this year] |
Question Formation | |
Mifano: | |
I. STATING NUMBERS OF SIBLINGS: 1. Una kaka wangapi?[How many brothers do you have?] a). Nina kaka mmoja na dada mmoja. [I have one brother and one sister.] b). Nina kaka mmoja na dada wawili. [I have one brother and two sisters.] c). Sina kaka lakini nina dada sita.[I don’t have brothers but I have six sisters.] d). Sina kaka.[I have no brother.] e). Sina dada.[I have no sister.] II. STATING YOUR AGE: 1. Una miaka mingapi?[How old are you/how many years do you have?] a). Nina miaka kumi na miwili. [I am 12 years old.] b). Nina miaka saba. [I am 7 years old.] III. STATING YOUR HOUSE NUMBER: 1. Nambari yako ya nyumba ni gani?[What is your house number?] a). Nambari yangu ya nyumba ni _____. [The number of my house is _____.] b). Nambari yangu ni _____. [My number is _____.] c). Ni barabara ya _____. [It is the street of _____.] IV. STATING YOUR TELEPHONE NUMBER 1. Nambari yako ya simu ni gani?[What is your telephone number?] a). Nambari yangu ya simu ni _____. [My telephone number is _____.] b). Nambari yangu ni _____. [My number is _____.]c). Ni _____. [It is _____.] |
V. STATING THE YEAR:
1. Huu ni mwaka gani?[Which year is this?]
a). Huu ni mwaka wa elfu mbili kumi na moja. [This year is 2011.]
b). Ni mwaka wa elfu mbili na kumi na moja. [It is the year 2011.]
c). Ni elfu mbili na kumi na moja. / Ni 2011. [It is 2011.]
2. Mwaka jana ulikuwa gani?[Which year was last year?]
a). Mwaka jana ulikuwa elfu mbili na kumi. [Last year was 2010.]
b). Ulikuwa elfu mbili na tisa. / Ulikuwa 2010. [It was 2010.]
3. Mwaka ujao/kesho utakuwa gani?[Which year will next year be?]
a). Mwaka ujao utakuwa elfu mbili na kumi na mbili.[Next year will be 2012.]
b). Utakuwa elfu mbili na kumi na mbili. /Utakuwa 2012.[It will be 2012.]
Fractions [akisami]
Fractions |
1 nusu [half] 2 theluthi / thuluthi [a third] 3 robo [a quarter] 4 humusi [a fifth] 5 sudusi / sudusu[a sixth] 6 subui[a seventh] 7 thumuni[an eighth] 8 tusui[a ninth] 9 ushuri[a tenth] 10 robo tatu[three quarters] 11 thuluthi mbili[two thirds] 12 humusi nne[four fifths] 13 subui mbili[two sevenths] 14 thumuni tatu[three eighths] 15 sudusi tano[five sixths] 16 tusui nane[eight ninths] 17 ushuri tisa[nine tenths] 18 subui sita[six sevenths] 19 ushuri tatu[three tenths] 20 thumuni mbili[two eighths] |
Zingatia [Note] | |
asilimia | [percentage] |
Sentence Formation |
Mifano: |
1. Darasa la Kiswahili lina wanafunzi thuluthi mbili leo.[The Kiswahili class has two thirds of the students today.] 2. Nitalipa ushuri tatu wa mshahara wangu wote.[I will pay three tenths of my whole salary.] 3. Wanafunzi robo tatu wa KU ni wanawake.[Three quarters of the KU students are women.] 4. Nusu ya idadi ya watu Marekani ni maskini.[Half of the American popula] |
No comments:
Post a Comment