Drinks [vinywaji] | |||||||
A). Drinks | |||||||
kinywaji / vinywaji[drink / drinks] chai[tea] kahawa [coffee] pombe [alcohol] maji [water] jusi[juice; fruit juice] maji ya zabibu[grape juice] maji ya ukwaju[tamarind juice] maji ya chenza[tangerine juice] maji ya limao/limau[lemonade] maji ya machungwa [orange juice] maji ya maembe [mango juice] maji ya mapera [guava juice] maji ya ndimu [lime juice] maji ya matofaa [apple juice] maji ya mananasi [pineapple juice] maji ya nazi [coconut juice] maji ya matunda ya karakara [passion fruit juice] maziwa [milk] soda[soda] mvinyo; divai[wine] spiriti [spirits] wiski[whiskey] vodka[vodka] jin[gin] rum[rum] tembo[palm wine] chang’aa[illicit liquor] mnazi[coconut wine] ulanzi[bamboo wine] muwa / boha[traditional sugarcane rum] kangara[maize and honey wine]
a). Ninapenda kunywa ___. [I like to drink ___.] b). Ninapenda kunywa chai na kahawa.[I like to drink tea and coffee.] c). Ninapenda kunywa chai, kahawana maji.[I like to drink tea, coffee, and water.] d). Ninapenda kunywa chai lakinisipendi kunywa pombe.[I like to drink tea, but I do not like drinking alcohol.] e). Sipendi kunywa chochote. [I do not like to drink anything.] 3. Rafiki/kaka/mama yako anapenda kunywa nini?[What does your friend/brother/mother like to drink?] a). Rafiki/kaka/mama yangu anapenda kunywa ___. [My friend/brother/mother likes to drink ___.] b). Anapenda kunywa ___. [He/She likes to drink ___.] c). Hapendi kunywa ___. [He/She does not like to drink ___.] d). Hapendi kunywa chochote. [He/She does not like to drink anything.] 4. Unapenda kunywa pombe gani?[What alcohol do you like to drink?] a). Ninapenda kunywa divai. [I like to drink wine.] b). Ninapenda kunywa divai na bia. [I like to drink wine and beer.] c). Ninapenda kunywa divai lakini sipendi kunywa bia.[I like to drink wine, but I do not like to drink beer.] d). Sipendi kunywa pombe yoyote. [I do not like to drink any alcohol.] 5a. Unapenda pombe / mvinyo / divai / gani?[What alcohol / wine do you like?] a). Ninapenda ___. [I like ___.] 5 b. Unapenda pombe ya aina gani?[What kind of alcohol do you like?] a). Ninapenda _______. [I like _________.] b). Ninapenda kunywa chai nakahawa.[I like to drink tea and coffee.] c). Ninapenda kunywa chai, kahawa na maji.[I like to drink tea, coffee, and water.] d). Ninapenda kunywa chai lakini sipendi kunywa pombe.[I like to drink tea, but I do not like drinking alcohol.] e). Sipendi kunywa chochote. [I do not like to drink anything.] 6. Hupendi pombe / mvinyo / divai gani?[What alcohol / wine do you not like?] a). Sipendi __________. [I do not like __________.] 7. Unapenda kununua kinywaji / vinywaji gani?[What drink / drinks do you like to buy?] a). Ninapenda kununua _______. [I like to buy ________.] 8. Unapenda kununua aina gani ya vinywaji?[What kind of drinks do you like to buy?] a). Ninapenda kununua _______. [I like buying ________.] |
Lesson 22
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Classroom Instructions [maagizo ya darasani] rudia- repeat mwalimu- teacher profesa- professor mwanafunzi- student jibu answer;- re...
No comments:
Post a Comment