Lesson 30

Diseases [magonjwa]

A). Diseases

afkani [heart disease]

donda [ulcers]


glakoma [glaucoma]


homa [fever]


homa ya manjano [yellow fever]


homa ya matumbo [typhoid]


kansa / saratani [cancer]


kaswende / sekeneke [syphilis]


kichaa / wazimu [insanity]


kichocho [bilharzia]


kidonda [wound (noun)]


kifafa [epilepsy]


kifuakikuu [tuberculosis]


kikohozi [cough]


kipindupindu [cholera]


tumbo la kuhara [dysentery]


kisonono [gonorrhea]


kisukari [diabetes]


kuendesha; kuhara [diarrhea]


kutapika [vomiting]


mafua [cold]


malale [sleeping sickness]


malaria [malaria]


mzio [allergies]


surua / ukambi [measles]


tibakemikali [chemotherapy]


umanyeto [hysteria]]


utapio mlo [kwashiorkor]

UKIMWI [AIDS]

(upungufu wa kinga mwilini)


pepopunda [tetanus]


tekekuwanga [chicken pox]


ukoma [leprosy]


ugonjwa wa kupooza [paralysis]


ndui [smallpox]


kidoletumbo [appendicitis]


ugonjwa wa kuambukiza [infectious disease]


funga choo [constipation]


maradhi [diseases]


najisi [rape]


zimia; zirai [fainting]


kiungulia [heartburn]


kifaduro [whooping cough]


kiharusi [polio]


baridi yabisi [rheumatism]


kuumika


perema


kupooza


matege


ngiri


chango


lukemia


anemia

 
goita / rovu


matende


mba / choa


ndui


tezi


busha


upele


sotoka


kimeta


riahi


mbulanga


pumu


shinikizodamu


vidonda tumbo / alsasi


[cupping; bloodletting]


[mumps]


[paralysis]


[bow-legged / bandy-legged]


[hernia]


[intestinal worms]


[leukemia]


[anemia]


[goiter]


[elephantiasis]


[dandruff / skin disease]


[smallpox]


[tumor]


[elephantiasis of the scrotum]


[scabies]


[rinderpest]


[anthrax]


[bloating]


[skin disease causing discoloration]


[asthma]


[hypertension]


[stomach ulcers]


B). Extra Vocabulary
maumivu [pain; hurt]

kufa / kufariki [to die]


sindano [needle; syringe]


tembe / dawa / vidonge [pill]


kupima [to measure / to examine]


kukinga / kuzuia [to prevent]


daktari / mganga [doctor]


daktari wa meno /
tabibumeno/
mhazigimeno
[dentist]


daktari wa macho [optician]


pata kitanda [be admitted]


tibiwa [be treated]


pata nafuu /pona [get better]


tibu [treat]


ugonjwa


gani


Usijali.


Usijali utapona.


Kwa nini?


kwa sababu


neli


bilauri / glasi


hospitali


zahanati / kliniki


mkunga


nesi / mwaguzi


kipimadamu


kipimajoto


koleo


uyoka / eksirei


plasta


bendeji


chandarua / vyandarua


maabara


vitanda


machela


magodoro


mito


[illness / sickness /disease]


[which / what]


[Do not worry.]


[Do not worry, you will recover / get well.]


[Why?]


[because]


[tube / pipe]


[glass]


[hospital]


[clinic / dispensary]


[midwife]


[nurse]


[sphygmomanometer]


[thermometer]


[scalpel]


[x-ray]


[plaster / cast]


[bandage]


[net]


[laboratories]


[beds]


[stretcher]


[mattress]


[pillows]

Zingatia [note] 

[Go to the doctor.]
[Go to the hospital.]
[Drink/Take medicine.]
[See the doctor.]
[to get medicine]
[to be hurt in the stomach/
head/leg]
[happy]
[sad]
[I am happy/sad.]
[tired]
[I am tired.]
[to cry]
[very sorry]
[I am sick.]
Kwenda kwa daktari.
Kwenda hospitali.
Kunywa dawa.
Kuona daktari.
kupata dawa
kuumwa na tumbo/
kichwa/mguu
furaha
huzuni
Nina furaha/huzuni.
choka
Nimechoka.
kulia
pole sana
Mimi ni mgonjwa.

Question Formation
Mifano:
1. Unaumwa na ugonjwa gani?[What disease are you suffering from?] 

a). Ninaumwa na malaria. [I am suffering from malaria.]

b). Nina malaria. [I have malaria.]
 
2. Una ugonjwa gani?[What disease do you have?] 

a). Ninaumwa na mafua. [I am suffering from a cold.]

b). Nina mafua. [I have a cold.]


 3. Hupendi ugonjwa gani?[What disease don’t you like?](Mimi) Sipendi mafua. [I don’t like the cold.]

 4. Hupendi ugonjwa wa aina gani?[What type/ kind of disease don’t you like?](Mimi) Sipendi homa. [I don’t like fever.]


No comments:

Post a Comment