Fruits [Matunda]
A). Fruits
tunda / matunda[fruit / fruits]
chungwa / machungwa[orange / oranges]
embe / maembe [mango / mangoes]
limao / malimao;limau / malimau[lemon / lemons]
nanasi / mananasi [pineapple / pineapples]
ndimu / ndimu [lime / limes]
ndizi / ndizi [banana / bananas]
ovakado / ovakado /parachichi/maparachichi[avocado / avocados]
papai / mapapai [papaya / papaya]
pera / mapera [guava / guava]
zabibu / mizabibu [grape / grapes]
tofaa / matofaa /tufaha / matufaha[apple / apples]
tikiti maji / tikiti maji [watermelon / watermelons]
chenza / machenza [tangerine / tangerines]
zambarau / zambarau [plum / plums]
nazi / nazi [coconut / coconuts]
kuyu / makuyu [fig / figs]
nyanya / nyanya [tomato / tomatoes]
peya / peya [pear / pears]
boga / maboga [pumpkin / pumpkins]
tende / tende [date / dates]
muwa / miwa [sugarcane / sugarcanes]
fenesi / mafenesi [jack fruit / jack fruits]
matunda ya karakara [passion fruit]
stroberi[strawberry]
tomoko / matomoko[custard apple / custard apples]
topetope / matopetope[olive / olives]
stafeli / stafeli[grapefruit / grapefruits]
zeituni /zeituni[tamarind fruit / tamarind fruits]
balungi / mabalungi[natal orange (Strychnos spinosa )]
danzi / madanzi[cherry tomato]
ukwaju / kwaju[tamarillo / tree tomatoes]
kwakwa / kwakwa[pepper / pepper]
tunguja / tunguja[date / dates]
mgogwe / magogwe
pilipili / pilipili
tende / tende
Zingatia [Note] | |
tunda / matunda penda kula kununua hapendi hupendi | [fruit / fruits] [like] [eat] [to buy] [he/she does not like] [you don’t like] |
Question Formation
Mifano:
1. Unapenda matunda gani?[What fruits do you like?]
a). Ninapenda machungwa na maembe. [I like oranges and mangoes.]
b). Sipendi matunda. [I do not like fruits.]
c). Kwa nini? Kwa sababu... [Why? Because…]
d). Sipendi matunda yoyote. [I do not like any fruits.]
2. Unapenda kununua matunda gani?[What fruits do you like to buy?]
a). Ninapenda kununua ndizi. [I like to buy bananas.]
b). Sipendi kununua matunda. [I do not like to buy fruits.]
c). Sipendi kununua matunda yoyote. [I do not like to buy any fruits.]
3. Unapenda kula matunda gani?[What fruits do you like to eat?]
a). Ninapenda kula nazi. [I like to eat coconut.]
b). Sipendi kula matunda. [I do not like to eat fruits.]
c). Sipendi kula matunda yoyote. [I do not like to eat any fruits.]
4. Wewe hupendi matunda gani?[What fruits don’t you like?]
Mimi sipendi __________. [I don’t like __________.]
5. Yeye hapendi matunda gani?[What fruits does he/she not like?]
Yeye hapendi __________? [He/She does not like ______.]
No comments:
Post a Comment