School Subjects [masomo]
A). School Subjects |
afya ja jamii [community health] akiolojia; elimu kale [archeology] anthropolojia [anthropology] bayolojia [biology] biashara [business] botania [botany] dini [religion] elimu [education] elimu ya kompyuta [computer science] elimu ya maktaba; ukutubi [library science/studies] elimu ya mazingira [environmental science] elimu ya mawasiliano [communication studies] elimu ya siasa [political science] elimu ya usimamizi wa fedha [finance] falsafa [philosophy] fasihi [literature] fizikia [physics] hisabati; hesabu [math] historia [history] isimu (ya lugha) [linguistics] jiografia [geography] jiolojia [geology] kemia [chemistry] Kihispania [Spanish] lishe [nutrition] lugha [language] masomo ya Kiafrika [African studies] masomo ya maendeleo [development studies] masomo ya wanawake [women’s studies] matibabu ya watoto [pediatrics] meteorolojia [meteorology] mipango ya miji [urban planning] |
muziki [music]
saikolojia [psychology]
sanaa [fine arts]
sanaa za maonyesho [theater arts]
sayansi [science]
sayansi kimu [home economics]
sayansi ya jamii [social science]
sayansi ya mimea [plant science]
sheria [law]
sosholojia [sociology]
uandishi [journalism]
uchumi [economics]
uganga; udaktari [medicine]
uhandisi [engineering]
unesi [nursing]
uongozi; manejimenti [management]
upasuaji [surgery]
usanifu majengo [architecture]
utangazaji [advertising]
Zingatia [Note] |
Some academic subjects are expressed by using elimu or masomo. However, school subjects that are not listed with elimu or masomo could optionally be expressed by using the following structure: elimu ya biashara, elimu ya dini, masomo ya dini, elimu ya uhandisi, etc.soma [study] Gani? [What?/which?]katika [at/within] Nini? [What?]chuo kikuu [university] Wapi? [Where?] |
Question Formation |
Mifano: |
1. Wewe unasoma masomo gani?[What subjects do you study? / What do you study?] Mimi ninasoma historia. [I study history.]2. Wewe unasoma nini?[What do you study?]Mimi ninasoma historia na kemia.[I study history and chemistry.]3. Wewe unasoma wapi?[Where do you study?]Mimi ninasoma katika chuo kikuu cha Kansas.[I study at the University of Kansas.] |
How to introduce yourself and what you study:
Jina langu ni Sheila/Ninaitwa Sheila. Ninasoma historia
katika chuo kikuu cha Kansas. Na wewe je?
[My name is Sheila/I’m called Sheila. I study history at the
University of Kansas. What about y
No comments:
Post a Comment